Simba Yapiga Marufuku Mashabiki ''Kupiga Tochi'' Mechi dhidi ya Orlando Pirates

Simba Yapiga Marufuku Mashabiki ''Kupiga Tochi'' Mechi dhidi ya Orlando Pirates

Hiyo ni kauli ya kuzuga na unafiki tu ili uongozi wa Simba unawe mikono, lakini nyuma ya pazia uongozi wa Simba ndio wanaratibu uwepo wa tochi kwenye hiyo michezo.
By the way hizo tochi hazisaidii lolote, ndio maana hata magolikipa huwa hata hawaonyeshi kukerwa
 
Javi la wageni fc kama kawaida yenu muandae mapokezi ya timu yenu Orlando bila kusahau kununua jezi zao kwa wingi
 
Safi sana msemaji. Umefanyia kazi ushauri niliokupa kwa kitendo chako cha kwenda kumpongeza yule mzee aliyeingia na kitochi. Wale waliotokwa povu kwa kunitukana, njooni muone jinsi ngano inavyotenganishwa na chuya. Msemaji kafanyia kazi ushauri.
 
Back
Top Bottom