Hiyo ni kauli ya kuzuga na unafiki tu ili uongozi wa Simba unawe mikono, lakini nyuma ya pazia uongozi wa Simba ndio wanaratibu uwepo wa tochi kwenye hiyo michezo.
Safi sana msemaji. Umefanyia kazi ushauri niliokupa kwa kitendo chako cha kwenda kumpongeza yule mzee aliyeingia na kitochi. Wale waliotokwa povu kwa kunitukana, njooni muone jinsi ngano inavyotenganishwa na chuya. Msemaji kafanyia kazi ushauri.