Simba yapigwa bao 7 Afrika Kusini

Ni habari ya chinichini kwamba mnyama simba sports yalambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu
Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa Wiki si kitu cha kuchekelea
Mods mpo wapi? Ondoeni huu uharo hapa na mleta Uzi piga ban mbona mnashusha heshima ya JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkude ametolewa unahodha simba baada ya kuvujisha habari kuwa simba imepigwa bao saba
 
Washazoea kufungwa hao, kwahiyo kawaida tu.
 
So mbaya wafalme wa soka walikula saba kwa german hakuna ajabu,labda kwako mwenye ubongo wa chapa mandashi,halafu dunia ya sasa hakuna habari za chinichin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni habari ya chinichini kwamba mnyama Simba Sports Club alambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu

Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa Wiki si kitu cha kuchekelea

Mkuu pandisha hii kitu page one:

 
Kwani huko South hii mambo haiwezekani? Wazee wa pawabenk

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…