Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli,google royal fc vs simba,youtube,utaona hizo 7 nyeupeFAKE NEWS....
Hahaaa. Imeshawatokea puani tena hivyoo.Ndondo za kimataifa wamuachie Azam tu, hawa mikia labda walikuwa wanataka kuonja tamu ya kupanda ndege tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ni kweli,google royal fc vs simba,youtube,utaona hizo 7 nyeupe
Mods mpo wapi? Ondoeni huu uharo hapa na mleta Uzi piga ban mbona mnashusha heshima ya JF?Ni habari ya chinichini kwamba mnyama simba sports yalambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu
Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa Wiki si kitu cha kuchekelea
Ni kweli Mikia wamekula wiki. Du poleni sana wana Mikia fcni kweli,google royal fc vs simba,youtube,utaona hizo 7 nyeupe
Njoo upigwe mkia farasi weweNo
Ni kweli Mikia wamekula wiki. Du poleni sana wana Mikia fc
Mkuu Osokoni mbona unakuwa mkali namna hiyo kwani kupigwa 7G ni mwisho wa mpira? Mpaka unaandika maneno ya ajabu namna hiyo? Halafu ni mechi ya kirafiki. Mkuu punguza mnkari!
Ni habari ya chinichini kwamba mnyama Simba Sports Club alambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu
Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa Wiki si kitu cha kuchekelea
Nachukia mtu anayeandika na kushabikia uongo Kama huu ni mpumbavu tena sanaMkuu Osokoni mbona unakuwa mkali namna hiyo kwani kupigwa 7G ni mwisho wa mpira? Mpaka unaandika maneno ya ajabu namna hiyo? Halafu ni mechi ya kirafiki. Mkuu punguza mnkari!
Wapuuzi wakubwa nyie mnaleta uzushi wa kipuuzi ili iweje.wiki sasa mnajambajamba mitandaoni na hii habari,lakini hakuna chura hata mmoja aliyeweka hata pichaMnarudi lini shuleni?