Simba yapigwa bao 7 Afrika Kusini

Yanga kutoka kuweka kambi uturuki adi morogoro kufulia kubaya sasa kutwa kuifatilia simba tu mwaka jana walienda uturuki wakacheza mech na wapishi wa hotel wala mkakaa kimya kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo timu ya Simba sc, iliyofungwa goli saba na Royal Eagles ni ya wapi ?
Maana Uganda kuna timu ya Rais Museveni inaitwa Simba sc
Kongo DRC kuna timu inaitwa Simba sc
Afrika ya kusini kuna timu inaitwa Simba sc
Zote ziko madalaja ya chini kama hiyo Royal Eagles
Inawekana kabisa hako ka ubao ka matangazo kalionesha matokeo ya mechi kati ya mojawapo ya hizo timu zinazoitwa Simba sc ambazo sio za Tanzania.
Kama ni Simba ya Tanzania leteni ubao ulioonesha majina ya wachezaji walioanza na wale waliokuwa bechi.
Maana kila mechi ni lazima majina hayo yaandikwe katika mbao za matangazo.

Yanga fc wacheni kuendekeza maneno ya umbea.
 
Waambie hao makapuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Uhuru Selemani anajua kuwa Mikia FC kala 7 up. Yeye anachezea timu hiyo ya SA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…