demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kwani huko South hii mambo haiwezekani? Wazee wa pawabenk
Aisee! hawa SABASABA FC Inabidi wakemewe ....haiwezekani ushirikina waupe nafasi kiasi hiki..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huko South hii mambo haiwezekani? Wazee wa pawabenk
Waambie hao makapukuHiyo timu ya Simba sc, iliyofungwa goli saba na Royal Eagles ni ya wapi ?
Maana Uganda kuna timu ya Rais Museveni inaitwa Simba sc
Kongo DRC kuna timu inaitwa Simba sc
Afrika ya kusini kuna timu inaitwa Simba sc
Zote ziko madalaja ya chini kama hiyo Royal Eagles
Inawekana kabisa hako ka ubao ka matangazo kalionesha matokeo ya mechi kati ya mojawapo ya hizo timu zinazoitwa Simba sc ambazo sio za Tanzania.
Kama ni Simba ya Tanzania leteni ubao ulioonesha majina ya wachezaji walioanza na wale waliokuwa bechi.
Maana kila mechi ni lazima majina hayo yaandikwe katika mbao za matangazo.
Yanga fc wacheni kuendekeza maneno ya umbea.
Walicheza na timu hiyo.Kuna ujuha uliwatawala wana yanga. Akizusha jambo mmoja wote wanaamini. Haya semeni simba walicheza na timu gani na wakati gani. Maana nijuavyo mimi watacheza na Pyrets pamoja na Bidvest wiki ijayo.