Simba yapigwa KO na Yanga, Sasa Yanga ndio Giant wa soka barani Afrika

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Habari ndio hivyo wanasimba wenzangu.
Sijui tukajifiche chaka lipi, hatuna tena la kuwaambia utopolo.
Sehemu pekee tulivyokuwa tumebakiza ni kuwa sisi ni miongoni mwa timu Bora 10 barani Afrika.

Kwa mujibu wa takwimu mpya ni kuwa Yanga wametoboa kutoka kulikojulikana paka no 9 huku wakitutimulia vumbi sisi Simba na kutuacha midomo wazi.

Kwaio Wana Simba wenzangu tukubali tu kuwa hii Yanga ya sasa ni timu Bora zaidi nchini Tanzania, Afrika na Duniani Kwa ujumla.
Povu ruksaa..
 
Ulikua umelala? Au ndiyo unaamka?
 
MAVI YAKO. Tumia akl walau 0.001 simba imejenga ubora wake kwa miaka ming. HATA GANGA ICHUKUE KOMBE LA SHIRIKISHO HAIWEZ HATA TOONE. Muwe na akili kdg
 
Hizo ni takwimu za kipindi cha miezi hiyo iliyoainishwa hapo juu,kwa mwaka huu tu,siyo overall..ukitaka kujua nani giant nenda kwenye ile takwimu au rank za caf pale ndo kuna vigogo wenyewe.
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Ni timu bora kwa msimu huu
Ila katika rank za CAF bado hawajafika nafasi hiyo
 
Hizo ni takwimu za kipindi cha miezi hiyo iliyoainishwa hapo juu,kwa mwaka huu tu,siyo overall..ukitaka kujua nani giant nenda kwenye ile takwimu au rank za caf pale ndo kuna vigogo wenyewe.
Lete hizo takwimu sasa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…