babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Habari ndio hivyo wanasimba wenzangu.
Sijui tukajifiche chaka lipi, hatuna tena la kuwaambia utopolo.
Sehemu pekee tulivyokuwa tumebakiza ni kuwa sisi ni miongoni mwa timu Bora 10 barani Afrika.
Kwa mujibu wa takwimu mpya ni kuwa Yanga wametoboa kutoka kulikojulikana paka no 9 huku wakitutimulia vumbi sisi Simba na kutuacha midomo wazi.
Kwaio Wana Simba wenzangu tukubali tu kuwa hii Yanga ya sasa ni timu Bora zaidi nchini Tanzania, Afrika na Duniani Kwa ujumla.
Povu ruksaa..