Mbona silioni kombe lao la Robo fainali? Wamelificha wapi?Umati mkubwa Mashabiki wa Simba umejitokeza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea Wababe wa soka hapa barani Afrika.
Mashabiki wengi wa Simba ambayo imetolewa hatua ya robo fainali na Wydad casablanca ya Morocco wameonekana kufurahishwa na matokeo ya timu yao kuendelea kulitetea kombe lao la kufika robo fainali kwenye michuano ya caf.
.....................View attachment 2604736View attachment 2604738
Sijakuona kwenye mapokezi Leo mkuuUtopolo mnatufuatilia sana maisha yetu, hangaikeni na kombe la watoto wenzenu
AaahhaaaUmati mkubwa Mashabiki wa Simba umejitokeza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea Wababe wa soka hapa barani Afrika.
Mashabiki wengi wa Simba ambayo imetolewa hatua ya robo fainali na Wydad casablanca ya Morocco wameonekana kufurahishwa na matokeo ya timu yao kuendelea kulitetea kombe lao la kufika robo fainali kwenye michuano ya caf.
.....................View attachment 2604736View attachment 2604738
Humu duniani kuna watu wanafiki sana na kweli, mashabiki wa hii timu ni MambumbumbuUmati mkubwa Mashabiki wa Simba umejitokeza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea Wababe wa soka hapa barani Afrika.