Simba yapokelewa kifalme JN International Airport

Umati mkubwa Mashabiki wa Simba umejitokeza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea Wababe wa soka hapa barani Afrika.

Mashabiki wengi wa Simba ambayo imetolewa hatua ya robo fainali na Wydad casablanca ya Morocco wameonekana kufurahishwa na matokeo ya timu yao kuendelea kulitetea kombe lao la kufika robo fainali kwenye michuano ya caf.

.....................View attachment 2604736View attachment 2604738
Mbona silioni kombe lao la Robo fainali? Wamelificha wapi?
 
Umati mkubwa Mashabiki wa Simba umejitokeza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea Wababe wa soka hapa barani Afrika.

Mashabiki wengi wa Simba ambayo imetolewa hatua ya robo fainali na Wydad casablanca ya Morocco wameonekana kufurahishwa na matokeo ya timu yao kuendelea kulitetea kombe lao la kufika robo fainali kwenye michuano ya caf.

.....................View attachment 2604736View attachment 2604738
Aaahhaaa
 
Humu duniani kuna watu wanafiki sana na kweli, mashabiki wa hii timu ni Mambumbumbu
 
Back
Top Bottom