Simba yapunguziwa adhabu mechi Moja bila watazamaji

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Caf
Wameona Hurumaa na sasa wamepunguza Simba watamisi mechi Moja kucheza bila washabgiliaji na sio 2 kama awali

All dbest
 
Kwani Simba ilipewa adhabu ya aina hiyo? Lini?
 
CAF wamegundua kwamba mashabiki wa Simba walikuwa provoked
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…