Simba yasajili kiungo wa Sudan, kuimarisha kikosi

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan.
Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja , habari zinasema ataziba nafasi ya James Kotei
64492488_1379240258908878_6731588108006981632_o.jpeg
 
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan.
Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja , habari zinasema ataziba nafasi ya James KoteiView attachment 1132445
Mbona hili jamaa linafanana na alshabab
 
Huyo ni kiungo mshambuliaji eneo ambalo Simba haikuwa na tatizo hata kidogo kama kiungo cha ukabaji. Tusubiri tuone viongozi wetu kitu gani wanatutengenezea labda kuna kiungo mshambuliaji mmoja anaondoka? Ni mapema sana kusema chochote tusubiri wamalize usajili.

Kuwakumbusha tu viongozi wetu kwenye kiungo cha ukabaji Mkude, Kotei na Ndemla wanahitaji kuongezewa mtu mmoja wa nguvu.
 
Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]

Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.

Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
 
Mkuu tulia, toka nianze kushabikia simba basi bila kupepesa macho, huu mwaka tutulie tu,, tuwaache wafanye usajili hawa viongozi,,

NIMEMCHEK KWA YOUTUBE,,
 
Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]

Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.

Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
Ni mwendo wa kusajili compitent players kama Jose morinho, mambo ya kusajili watoto ndio yana tucost arsenal tunakaribia miaka 20 pasipo ubingwa wa ligi wala vikombe vikubwa.

Lakini pia naamini waboreshe u_20 wale watao prove haswa basi kila msimu walau awe ana promotiwa mmoja ama wawili.
 
Back
Top Bottom