brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan.
Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja , habari zinasema ataziba nafasi ya James Kotei