Mbona hili jamaa linafanana na alshababMabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan.
Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja , habari zinasema ataziba nafasi ya James KoteiView attachment 1132445
Mkuu tulia, toka nianze kushabikia simba basi bila kupepesa macho, huu mwaka tutulie tu,, tuwaache wafanye usajili hawa viongozi,,Huyo ni kiungo mshambuliaji eneo ambalo Simba haikuwa na tatizo hata kidogo kama kiungo cha ukabaji. Tusubiri tuone viongozi wetu kitu gani wanatutengenezea labda kuna kiungo mshambuliaji mmoja anaondoka? Ni mapema sana kusema chochote tusubiri wamalize usajili.
Kuwakumbusha tu viongozi wetu kwenye kiungo cha ukabaji Mkude, Kotei na Ndemla wanahitaji kuongezewa mtu mmoja wa nguvu.
Ni mwendo wa kusajili compitent players kama Jose morinho, mambo ya kusajili watoto ndio yana tucost arsenal tunakaribia miaka 20 pasipo ubingwa wa ligi wala vikombe vikubwa.Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.
Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
Sio maneno yangu MimiMwe..! Mwe..! Mutu ya Kazi, karibu Msimbazi Sharif Shiboub
Huyu atasababisha yule Ally Ally akimuona tu kwenye derby ya Simba SC na Yanga ajifunge..!SimbaNguvuMoja
VizurMkuu tulia, toka nianze kushabikia simba basi bila kupepesa macho, huu mwaka tutulie tu,, tuwaache wafanye usajili hawa viongozi,,
NIMEMCHEK KWA YOUTUBE,,
Huyo jamaa ni hatarKwa umri jamaa kazaliwa tarehe 7 June, 1994. Kwa hiyo bado ana muda mrefu wa kucheza mpira.
1, MwepesiVizur