Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Hakuna kubwabwaja,kufungwa leo ndio kwenu mvua imenyesha mnakoroma wee! Bado tinauwezo wakufanya vizuri zaidi. Leo tumepewa changamoto katika mfumo wetu wa ulinzi. Kwamba kupandisha mabeki na kujisahau ni kosa.Pia simba tunatatizo la mfungaji,ni matatizo yanayoweza kutatulika.sisi hua tunajikosoa wenyewe siyo nyinyi mnajiona mko poa kumbe mbeleko inawasaidia.

Acha porojo!! Ati, "hua tunajikosoa!" Miaka minne iliyopita ilikuaje? Kutangulia kwa baiskeli ya matope kwenu mikia imekua jambo la kawaida miaka iliyopita, na mbio hizo za baiskeli ya matope zikisindikizwa na makele, "RUBBISH" za akina Sembo, Gentamycine & company. Nina wasiwasi iwapo mwaka huu utakua tofauti!
 
TigoPesa FC imeshafanya Yake Hapo....
[HASHTAG]#DaimaMbele[/HASHTAG]

Mkikosa ubingwa mtakuja na visingizio vya Mpesa na kusahau kumuondoa Mavugo ili msajili mchezaji mpya.
Msimu ukianza mnaanza kwa mbwembwe, Yanga wanakuja kubeba tena, mtaanza visingizio vya TigoPesa.

Huku idadi ya Makombe yetu yanaongezeka.
 
Naona yanga leo wanasema hua tunanunua mechi.Hivi kuna magoli ya mkono simba? Je magoli ya offside? Wapi watu kucheza rafu mbaya za red card na kutoonywa na kadi yeyote.Hivi simba hii maskini iliyoundwa na wachezaji wenye thamani ya wachezaji watatu wa Yanga inaweza kuhonga? Acheni unazi,sisi tumefungwa kama timu nyingine.Hua tunashinda kwa jasho siyo laini kama mavyura.Acheni kukoroma.
d87720d177bdefea009fed224d25af89.jpg
haka kamchezo akahitaji hasira
 
Nani kauza game leo kagera sugar wao walisimamisha kipa na beki na nyie vipi watani nani atasimamishwa?
 
Hakuna kubwabwaja,kufungwa leo ndio kwenu mvua imenyesha mnakoroma wee! Bado tinauwezo wakufanya vizuri zaidi. Leo tumepewa changamoto katika mfumo wetu wa ulinzi. Kwamba kupandisha mabeki na kujisahau ni kosa.Pia simba tunatatizo la mfungaji,ni matatizo yanayoweza kutatulika.sisi hua tunajikosoa wenyewe siyo nyinyi mnajiona mko poa kumbe mbeleko inawasaidia.
Mfungaji kichupi c uwa anafungaga [emoji205] [emoji23]
 
Uko sahihi Mkuu.. Pia kwa midfield yetu.. Sioni ni kwa jinsi gani mipira inaweza kuvuka katika ya uwanja.
Ulivuka mpira mmoja tu mtani zile dakika za mashetani kurudi mitini na ndo ukaleta msiba.
 
Lyon Wamebahatisha...na plan yao ya KIMORINYO imewasaidia ole wake wangefunguka ilikuwa Dazan leo
 
Back
Top Bottom