Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

tatizo simba wamekiuka mashart ya mganga huku shinyanga waliruka ukuta.na pia walipanda ndege.wamejitakia wenyewe kufungwa.
 

Acha porojo!! Ati, "hua tunajikosoa!" Miaka minne iliyopita ilikuaje? Kutangulia kwa baiskeli ya matope kwenu mikia imekua jambo la kawaida miaka iliyopita, na mbio hizo za baiskeli ya matope zikisindikizwa na makele, "RUBBISH" za akina Sembo, Gentamycine & company. Nina wasiwasi iwapo mwaka huu utakua tofauti!
 
TigoPesa FC imeshafanya Yake Hapo....
[HASHTAG]#DaimaMbele[/HASHTAG]

Mkikosa ubingwa mtakuja na visingizio vya Mpesa na kusahau kumuondoa Mavugo ili msajili mchezaji mpya.
Msimu ukianza mnaanza kwa mbwembwe, Yanga wanakuja kubeba tena, mtaanza visingizio vya TigoPesa.

Huku idadi ya Makombe yetu yanaongezeka.
 
haka kamchezo akahitaji hasira
 
Nani kauza game leo kagera sugar wao walisimamisha kipa na beki na nyie vipi watani nani atasimamishwa?
 
Mfungaji kichupi c uwa anafungaga [emoji205] [emoji23]
 
Uko sahihi Mkuu.. Pia kwa midfield yetu.. Sioni ni kwa jinsi gani mipira inaweza kuvuka katika ya uwanja.
Ulivuka mpira mmoja tu mtani zile dakika za mashetani kurudi mitini na ndo ukaleta msiba.
 
Lyon Wamebahatisha...na plan yao ya KIMORINYO imewasaidia ole wake wangefunguka ilikuwa Dazan leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…