Mkuu tuwekee matokeo hapo juu.Nimemuomba mods arekebishe
Kashakimbia huyo. Ila modes wamesikia natumaini watafanyie kazi ombi lakoMkuu tuwekee matokeo hapo juu.
mrembo acha kushabikia vitu vya kijinga njoo huku kwenye rahaNalia machozi makubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kinyume!!!Ft Simba 3-1 Leon
Simba wamepunguzwa kiherehereNiliwaambia wawe na akiba ya maneno...mchezo huu hautaki hasira.