Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye matokeo ya mechi ya Simba tafadhaliiiii
MOD uliyeweka haya matokeo tunashukuru sana. Ila edit Heading isomeke African Lyon 1 - 0 Simba. Sababu hii thread inahusu update ya simba na african lyon.View attachment 430020 View attachment 430021 Simba Sc timu iliyocheza mechi 13 na kufungwa goli 2 tu na moja la mkono ililofungwa na Yanga SC,leo inakipiga na African Lyon ya Dar es Salaam uwanja wa Uhuru. Mechi hiyo itakuwa ni ya 14 kwa Simba-Taifa Kubwa ikiwa imeiacha mpinzani wake Yanga (aliyefungwa na Mbeya City na Stand Utd) kwa pointi 8, imejikusanyia jumla ya pointi 35
Mechi hiyo itapigwa jioni saa 10 na itarushwa live na Azam TV na kutangazwa na TBC one na Uhuru FM. Hapa JF nitakuletea moja kwa moja mtanange huu kwa msaada wa Azam TV
Simba inategemewa kuendeleza kipigo kwa kila timu inayokutana nayo bila kujali wepesi au uzito wake.
Hivi punde ntakuletea kikosi kizima cha Mnyama Taifa Kubwa
Usiondoke
Updates....................................
KIKOSI CHA SIMBA SC-TAIFA KUBWA
1. Vicent Angban
2. Javier Bukungu
3. Mohamed Zimbwe
4. Novart Lufunga
5. Method Mwanjale
6. Jonas Mkude
7. Muzamiru Yassin
8. Mwinyi Kazimoto
9. Laudit Mavugo
10. Mohamed Ibrahim
11. Shiza Kichuya
AKIBA:
1. Peter Manyika
2. Hamad Juma
3. Said Ndemla
4. Moussa Ndusha
5. Emmanuel Semwanza
6. Jamal Mnyate
=========
Matokeo ya Mechi zote za VPL Leo.
View attachment 430113
Haya sasa AIBU YETU, AIBU YAO........(ni aibu yao wenyewe). Refa alijaribu kuwatengenezea MAZINGIRA, Kwa kuwaongezea DAKIKA akidhani wangeshinda,........Matokeo WAMELAZWA wao.........BILA AIBU NA KAMA KAWAIDA YAO......Wanadai ni GOLI la MKONO........Teeehteeeteeh...!!
Mzee vp matokeo umeyaonajeKwa nini uzi usiunganishwe na wa ndala ili tuwanange pindi wakipokea kipigo kutoka kwa prison
Ndoto yako imetimiaNimeota simba leo anafungwa kwa mara ya kwanza
Na bado ndio kwanza ligi imeanza hiiKama kawa.. Kama dawa.. Lazima tuwakalishe.
Klabu bingwa ya baoSimba inaweza kuchukua Club bingwa afrika