Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Mwenye matokeo ya mechi ya Simba tafadhaliiiii
 
Huyu msemaji wa Simba Mr sembo yuko wapi aje atoe Maelezo. Imekuwaje wanaacha Mwali anatolewa bikra kizembe hivi. Au message ya Tigo Pesa ilichelewa kufika kwa Mshenga

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
View attachment 430020 View attachment 430021 Simba Sc timu iliyocheza mechi 13 na kufungwa goli 2 tu na moja la mkono ililofungwa na Yanga SC,leo inakipiga na African Lyon ya Dar es Salaam uwanja wa Uhuru. Mechi hiyo itakuwa ni ya 14 kwa Simba-Taifa Kubwa ikiwa imeiacha mpinzani wake Yanga (aliyefungwa na Mbeya City na Stand Utd) kwa pointi 8, imejikusanyia jumla ya pointi 35

Mechi hiyo itapigwa jioni saa 10 na itarushwa live na Azam TV na kutangazwa na TBC one na Uhuru FM. Hapa JF nitakuletea moja kwa moja mtanange huu kwa msaada wa Azam TV

Simba inategemewa kuendeleza kipigo kwa kila timu inayokutana nayo bila kujali wepesi au uzito wake.
Hivi punde ntakuletea kikosi kizima cha Mnyama Taifa Kubwa
Usiondoke

Updates....................................
KIKOSI CHA SIMBA SC-TAIFA KUBWA
1. Vicent Angban
2. Javier Bukungu
3. Mohamed Zimbwe
4. Novart Lufunga
5. Method Mwanjale
6. Jonas Mkude
7. Muzamiru Yassin
8. Mwinyi Kazimoto
9. Laudit Mavugo
10. Mohamed Ibrahim
11. Shiza Kichuya

AKIBA:
1. Peter Manyika
2. Hamad Juma
3. Said Ndemla
4. Moussa Ndusha
5. Emmanuel Semwanza
6. Jamal Mnyate

=========
Matokeo ya Mechi zote za VPL Leo.
View attachment 430113
MOD uliyeweka haya matokeo tunashukuru sana. Ila edit Heading isomeke African Lyon 1 - 0 Simba. Sababu hii thread inahusu update ya simba na african lyon.

Bold kabisa heading kuwa Simba Kapakatwa kimoja Bila Majibu
 
17c06bca8afae187cdc51a3c140a6128.jpg
 
Haya sasa AIBU YETU, AIBU YAO........(ni aibu yao wenyewe). Refa alijaribu kuwatengenezea MAZINGIRA, Kwa kuwaongezea DAKIKA akidhani wangeshinda,........Matokeo WAMELAZWA wao.........BILA AIBU NA KAMA KAWAIDA YAO......Wanadai ni GOLI la MKONO........Teeehteeeteeh...!!
179414e3251eda17e5735a387bb18a8e.jpg

Kweli mkuu samtaimu soka ina maajabu yakw
 
Ebu tulieni kisha nipeni updates za uhakika!
Mnasema mnyama mnyamani kakaa?
 
Kupatwa kwa simba... Prison funga simba Wiki ijayo.. Twende mapumziko gape ndogo
 
Game imekuwa fair kabisa hakuna wa kulaumiwa . Simba wamezalishwa dakika za lala salama bila ubishi .
 
kati ya magoli yanayouma ni hili goli la africa lyon,limeniuma sana hata kula usiku sitamani bora wangufunga dk za mwanzo tungejua tumeshindwa sisi kurudisha sasa goli dk zile asee na mpira wote tuliocheza daaah
 
Back
Top Bottom