Kuna rekodi hazivunjiki kama vile;
Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969
Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974
Kuna rekodi zinavunjika kama;
Yanga kuwa klabu pekee ya Tanzania kuingia ROBO FAINALI klabu bingwa kwa misimu miwili mfululizo yaani 1969 na 1970.
Simba walikuwa wanakaribia kuivunja rekodi hiyo hata hivyo jana wametolewa