Simba yastaafisha jezi namba 20 iliyokuwa inatumiwa na Jonas Mkude klabuni hapo

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC Ahmed Ally kupitia Simba TV ametangaza kuwa Simba SC imeistaafisha jezi namba 20 iliyokuwa inatumiwa na Kiungo wao Jonas Mkude hadi pale atakapopatikana Mtu sahihi kutokea Simba B atakayeirithi ambapo Mkude ameondoka Simba SC baada ya kuitumikia Club hiyo kwa miaka 13.

“Sisi kama Simba tumepanga kumfanyia makubwa sana Mkude katika kumuaga kwake, akimaliza mipango yake ya kimaisha ya kucheza ball arudi Simba SC nafasi yake kwenye utawala au ufundi nafasi yake ipo wazi” ——— Ahmed Ally

“La pili jezi namba 20 ambayo ameivaa Jonas Mkude kwa miaka 13 akiwa Simba SC nayo rasmi tumeistafisha haitatumika mpaka pale Simba tutakapopata kijana mwingine hodari kutokea Simba B”

Maoni yangu

Simba sc imefanya hili baada ya kuona kelele(malalamiko) ya mashabiki kulalamika kwa nini Mkude anapewa thank you kihuni wakati ni kijana mkongwe pale simba sc na ameitumikia Simba kwa mafanikio makubwa sana.

Hizo kelele ndiyo zilipelekea mpaka Page ya Simba kuanza kupost magoli na makubwa alivyokua anayafanya Jonas Mkude uwanjani.

Kiufupi Simba sc wanajitekenya na kucheka wenyewe.

Nawasilisha hoja.
 
Hivi mkude kafanya makubwa simba kuliko gerrald aliyoyafanya Liverpool?
 
Mkude amecheza kwenye ligi hii kwa miaka 12 kwa kiwango chajuu ukiondoa mwaka huu ambaye kidogo alishuka
 
Back
Top Bottom