Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Waziri mshenzi huyo, ripoti ya POLISI ilieleza kuwa waarabu ndiyo walioanzisha kuwapiga mashabiki wa Simba kwa viti, wanasimba nao wakavirusha kujibu mapigo.
Huyo waziri anaifanya habari hii ionekane kuwa Simba ndiyo wakorofi. Simba Haina Sifa yoyote mbaya katika eneo la mashabiki, haijawahi kufungiwa. Anaichafua nchi yake mwenyewe kwa kukosa weledi. Alinde maslahi ya taifa badala ya kutoa matamko yanayoweza kutumiwa kama rejea baadae ya kuiharibu taswira ya mpira wetu.