Simba yatambulisha Kocha mpya wa Makipa

Vyovyote ilivyo hayo ni maisha binafsi ya watu husika ndio maana wamekamatwa wao kama wao,zaidi ya hilo sidhani kama nina muda wa kuendelea ku-argue!!Nilih et Cum Deo
Mbona unaweweseka kwani kuna aliesema sio maisha binafsi?
 
Mimi ni Dada,lakini leo akitokea mtu akanipa deal ya Unga kwa kuwa najua ni UMILIONEA nitajilipua mchana kweupe,lakini tabia za kishoga kama hizi za Wanaume kubusu na kukumbatiana KICHOKO hapana kwa kweli
 

Attachments

  • JamiiForums-2020220097.jpg
    85.1 KB · Views: 2
Ngada fc aka kilo 34
Hii ni Vita kuihusisha Klabu ya Simba.

Kosa amefanya Mwarami alafu inasemwa Klabu ya Simba, ambayo iliacha kufanya naye kazi mwezi Mmoja uliopita.

Hii sio sawa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…