Mnachihangu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2022
- 890
- 1,022
Pedeshee ni cheo gani pale yanga wewe tutusa?kuna yule pedeshee ya Yanga aliyekuwa anaitwa YANGA OMARY wa Tanga,yupo Jela Maweni tangu mwaka juzi alihukumiwa kwa kukutwa na Heroin nyumbani kwake