Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Acha kutetea uongozi mkuu., Japo hayo ni makosa yake binafsi wala siyo ya taasisi ya Simba S.C ila hii ishu ya kuajili watu ki deiwaka inatuaibisha sana. Kipindi kile anaondoka Manara alitoa tuhuma kuwa hakuwa na mkataba, Mgunda the same story, Leo huyu Muharami nae eti alikuwa deiwaka....Hii ni Vita kuihusisha Klabu ya Simba.
Kosa amefanya Mwarami alafu inasemwa Klabu ya Simba, ambayo iliacha kufanya naye kazi mwezi Mmoja uliopita.
Hii sio sawa Mkuu
Ni kweli Mkuu, lakini ndiyo maana Jana ilitolewa taarifa ya Simba kumuajiri Kocha wa Makipa.Acha kutetea uongozi mkuu., Japo hayo ni makosa yake binafsi wala siyo ya taasisi ya Simba S.C ila hii ishu ya kuajili watu ki deiwaka inatuaibisha sana. Kipindi kile anaondoka Manara alitoa tuhuma kuwa hakuwa na mkataba, Mgunda the same story, Leo huyu Muharami nae eti alikuwa deiwaka....
Uongozi unafeli pakubwa sana
Sawa taarifa imetolewa lakini at the wrong time..Ni kweli Mkuu, lakini ndiyo maana Jana ilitolewa taarifa ya Simba kumuajiri Kocha wa Makipa.
Hivyo suala la Udeiwaka limefanyiwa kazi.
Tuombeeni Kheri, tunapitia kipindi kigumu kidogo ingawa tutakivuka salama
Kuna Wakati lazima ufanye maamuzi magumu ili kusonga mbele.Sawa taarifa imetolewa lakini at the wrong time..
Naskia nae ni punda
Na ushoga uendelee huko YangaView attachment 2418124View attachment 2418125
Yuda alimbusu Yesu je nao ulikuwa ushoga?
Kwahiyo kitu ili ukiamini mpaka ukione na uwepo?Ulimuona??ulikuepo??acha uongo