Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Acha kutetea uongozi mkuu., Japo hayo ni makosa yake binafsi wala siyo ya taasisi ya Simba S.C ila hii ishu ya kuajili watu ki deiwaka inatuaibisha sana. Kipindi kile anaondoka Manara alitoa tuhuma kuwa hakuwa na mkataba, Mgunda the same story, Leo huyu Muharami nae eti alikuwa deiwaka....Hii ni Vita kuihusisha Klabu ya Simba.
Kosa amefanya Mwarami alafu inasemwa Klabu ya Simba, ambayo iliacha kufanya naye kazi mwezi Mmoja uliopita.
Hii sio sawa Mkuu
Uongozi unafeli pakubwa sana