JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine.
CEO wa Simba, Barbara Gonzalez amesema: “Mkataba wa SportPesa uliisha tangu Mei 11, 2022 lakini kibinaadamu tunaendelea hadi Juni 28 au 29, Juni 2022
“Wadau wasubiri tutatangaza mdhamini mpya japokuwa bado pia tuna mazungumzo na wao SportPesa.
“Tulipokuwa Afrika Kusini tulipata nafasi ya kuzungumza na kampuni nyingine lakini kwa kuwa tuikuwa na mkataba na SportPesa mambo mengine yanaendelea.”