Simba yatangaza rasmi kumaliza mkataba na SportPesa, mdhamini mpya mbioni kutangazwa

Simba yatangaza rasmi kumaliza mkataba na SportPesa, mdhamini mpya mbioni kutangazwa

Kumbe kuna mikataba ya kiubinadamu..?
Afrika tabu tupo usishangae huyu ni profesa kwenye vyeti vya taaluma. Hivi kwann usijiulize mchezaje anaweza kumaliza mkataba mwez mmoja nyuma lkn kwenye mashindano anaenda hadi msimu unaisha hats miex mitatu mbele???
 
Kila la kheri. Sisi tunataka tu Timu imara tugawe dozi za kutosha kitaifa na kimataifa.
 
Tik Tok waje hapa, tuoge mapenee hadi tunukie hela tyuuh.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881] nguvu 1.
 
Kumbe kuna mikataba ya kiubinadamu..?
Kibinadamu hapa imeangalia vitu vingi
Mfano simba ingepata mdhamini mpya sasa zikiwa zimebaki mechi chache kuhitimisha msimu kungehitajika pia mabadiliko ya jezi pamoja na mabango uwanjani sasa gharama zote hizi kwa muda uliobaki simba wakaona ni vyema tu wamalize msimu na spotipesa huku mdhamini mpya akisubiri msimu mpya wa mashindano

Pia udhamini wowote mpya ungeathiri mauzo ya jezi kwenye mechi za mwisho wa msimu wakati ambao watu wanamalizia stock hata kwa bei ya punguzo.
Nadhani vunja bei lingemuathiri hili maana mauzo ni kama yangesimama huku kila mtu akisubiri jezi zenye nembo ya mdhamini mpya

Pia ubinadamu huu uliofanywa na Simba ni malipo ya ubinadamu wanaofanya sportpesa kwa hivi vilabu mbali na matakwa ya kimkataba
mfano mzuri sportpesa ametoa bonus zaidi ya mara moja kwa simba kwa kufika robo fainali ya michuano ya caf ilihali nembo yake haivaliwi na simba kwenye michuano hiyo kutokana na muingiliano wa kiudhamini na mdhamini wa caf
 
Mtabadili Mpaka Wadhamini Lakini Tukikutana Kichapo Kipo Pale Pale Na Msimu Ujao Mnatoka Tena Patupu [emoji41]
 
Sisi Tunataka Usajili Mzuri Top Players ! Mengine Mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom