JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Waje Tik Tok
Bora tik tok wana mkwanja mzuriWadhamini wanaowania hiyo chance wapo watatu .
1. Sportpesa
2. Vodacom
3.Tik Tok
Hao mashoga huwa wanabet kupitia SPORTPESA kisha wanajiunga bundle kwa VODACOM ndio wanaingia TIK TOKTik tok imejaza mashoga
Wataharibu Brandi ya timu yetu
unaumwa weweGsm inachukua
"Barabara hii imejengwa kwa msaada wa watu wa marekani"Tik tok imejaza mashoga
Wataharibu Brandi ya timu yetu
watoto wa juzi hao."Barabara hii imejengwa kwa msaada wa watu wa marekani"
Ulishawahi kujiuliza kuhusu hao watu wa Marekani?
Hizi ni za ndani sana mkuu 😂unaumwa wewe
Kumbe kuna mikataba ya kiubinadamu..?Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine.
CEO wa Simba, Barbara Gonzalez amesema: “Mkataba wa SportPesa uliisha tangu Mei 11, 2022 lakini kibinaadamu tunaendelea hadi Juni 28 au 29, Juni 2022
“Wadau wasubiri tutatangaza mdhamini mpya japokuwa bado pia tuna mazungumzo na wao SportPesa.
“Tulipokuwa Afrika Kusini tulipata nafasi ya kuzungumza na kampuni nyingine lakini kwa kuwa tuikuwa na mkataba na SportPesa mambo mengine yanaendelea.”