Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kuwa mtulivu
Kutoka ni kutoka tu, hamna penye afadhali.Penalty hazina mwenyewe ila bora utolewe ndani ya dak. 90 kuliko kutoka kwa penalty.
Na log off kwa muda.. Asante Mungu kwa kusikia maombi yetu[emoji1545]
Tutaungana tu wanyaki tulie kilio cha SimbaNkamu nimeshindwa angalia siwezi uwiii nitalia Simba ikitolewa
Mzee ingia kambianiNa log off kwa muda.. Asante Mungu kwa kusikia maombi yetu[emoji1545]