REPORT from ALLY MAYAI TEMBELE
"Ally Mayai Tembele, akizungumza [emoji2788] Nilicho kiona leo ni kwamba Yanga Sc hawawezi kucheza kimataifa na wakafanikiwa au kupata mafanikio wakiwa na wachezaji wa aina hii ni wakawaida sana walikuwa wakionekana wazuri kwakuwa walikuwa wakikutana na timu ndogondogo
[emoji2788] Yanga ili washindane na timu kama Orando Piratea, Al Ahly, au Tp Mazembe, wanatakiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa walionao
[emoji2788]Aucho, Mayele, Bangala, Feisal, kidogo ameonyesha ila hawa wote hawawezi kuwa na bato dhidi ya timu kama Al Ahly, Tp Mazembe, au Berkane,
[emoji2788] Simba ni timu bora sana zaidi ya Yanga tofauti na watu wanavyofikili kuwa Yanga ndio bora Simba Sc huwa wanafungwa na Mbeya City au Biashara, ni kutokana na kujisahau wakifikili kuwa ni timu ndogo au ni mbovu hivyo huwa hawajipangi ipaswavyo
[emoji2788] Yanga wao wanajipanga kila geam kwakuwa hawakutani na timu nyingi kubwa wao wakicheza iwe Mbeya City iwe Namungo wanazichukulia kuwa ni timu kubwa
[emoji2788] Wakati huo Simba wamesha ziweka hizi Namungo na wengine kuwa ni timu ndogo Simba wao wanaamini kuwa timu kubwa ni Al Ahly, Orando, na wengine wakubwa wa Africa na timu za hapa nchini hawazifanyii mazowezi kiujumla
[emoji2788] mchezo wao uliomalizika timu bora kwangu ni Simba Sc Yanga ndio walitakiwa kufungwa leo hiyo ni kwa mtazamo wangu mimi kama Ally Amayai [emoji3578][emoji120][emoji2][emoji2][emoji109]
[emoji2788] Kwa kuongeza hii leo kati ya Mayele, na Mugalu, aliyecheza mpira zaidi ni Mugalu, utofauti upo Mayele, amekutana nafasi nzur ameshindwa kuzitumia na Mugalu, amecheza zaidi mpira ila hajakuta na nafasi nzur ya kufunga
#JUMAHsports