Hapa nilipo nimeshikilia madude mpaka natoka jasho la mgongoniMzee ingia kambiani
Relax . we are under control
Kwenye kupiga penati weupe sana hawa vijana, sidhani kama huwa wanajifunza.Hahahahahahaha Simba Sport bwana
Mbwa shangazi yakoNyie Penalty Hamujuii Mbwaaa..! [emoji23][emoji23]
Kuwa mpoleSimba na penati wapi na wapi! [emoji16][emoji16]Siyo mbaya kutolewa kwa mikwaju ya penati. Hongereni kwa kushiriki.