SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Haigeuzi kuwa umebakwa kusema ni kwa mbinde [emoji23]Ubakwe Mbele Ubakwe Nyuma Ubakwe Kote Utumie Nguvu Kuonesha Upinzani Kujinasua Usitumie Nguvu Kujinasua...All In All Ni Umebakwa Tu [emoji23]
Kweli maisha kupokezana.Alitaka afanye unyama[emoji23]eti aipate angle 90 kumbe yenyewe ndo ikampata
Nilimchek bwn mdg ana vibrate hadi nikamuonea huruma.Kweli maisha kupokezana.
Bwaa huyu alikuwa akituchezea mtindo wake wa kuchapa pale Lupaso baada ya goli. Leo amechuchumaa anatetemeka.
Wapo wataokuwa na wakati mgumu kwenye haya matokeo ila kwa enonga itakuwa ni zaidi
Enonga kuna muda camera ilimuonesha akiwa anatetemeka sana baada ya kukosa ile penalty, sidhani kama mentality yake iko poa
Haya matokeo yamem-disgusting sana
Sikuji ng'ooooo.Kwa nini wanawake mna huruma sana?,. Karibu kwenye chama letu maji maji hakuna stress
Huyu tatizo ni miBangi anayovuta
Jamaa alichanganyikiwa kabisa...
Hasira hazikutosha naona leo. Sasa umeona uzijaze kwaajili ya Yanga
Bega sio kushika
Waliokuwa wanafikiria ule mpira ni handball wajifunze hapaSio penalt hata kwa dawa
Juzi tu nimetoka kusoma sheria za mpira afu mnataka kutuletea habari mpya hapa
Sijui lini hawa makolo wataacha kuaibisha taifaMji umepoaaaaaa, Orlando mmetutendea haki.