Ubwabwa wangu uko wapiMalopolopo Fc mmeshachoka kuongea??
Wachawi Tu Nyie Hamna Lolote [emoji23]Ukweli utabakia kuwa Simba ni timu kubwaa
Simba ni wawakilishi pekee Africa mashariki na kati
Simba imejitoa hata kama haikua na wafungaji bora wamekua na team work na hawajakata tamaa
Na wamepambana hata kama sio kwa kufunga wamepambana kuzuia magoli huo ndo uanaume, mwanaume anapaswa kutake action ili afikie lengo lake kwa njia yoyote ile,lengo la Simba jana ilikua ni kuzuia magoli na hata kama ni kupata goli basi wanahakikisha hawafungwi.
Halafu Hao pirates wamepata goli la kuhenyaaaa yani wamehenyaaa tumeshindwa ila tumewahenyeshaaaa ndo furaha yetu..
hakuna kufa kiume, kufa ni kufa tu.. mna kidomo domo kama chuchunge yaaaniTumekufa kiume lakini😂😬😬
Marehemu alikuwa na mdomo Sana...Tumekufa kiume lakini[emoji23][emoji51][emoji51]
We ni kolo unajifariji tuuMimi ni YANGA Kindakindaki, lakini Simba ni Timu nzuri kuliko Hao maharamia wa Orlando,Simba walistahili kushinda kabisa.
Simba bila chupri chupri haishindi. Ni timu mbovu kulikoUkweli utabakia kuwa Simba ni timu kubwaa
Simba ni wawakilishi pekee Africa mashariki na kati
Simba imejitoa hata kama haikua na wafungaji bora wamekua na team work na hawajakata tamaa
Na wamepambana hata kama sio kwa kufunga wamepambana kuzuia magoli huo ndo uanaume, mwanaume anapaswa kutake action ili afikie lengo lake kwa njia yoyote ile,lengo la Simba jana ilikua ni kuzuia magoli na hata kama ni kupata goli basi wanahakikisha hawafungwi.
Halafu Hao pirates wamepata goli la kuhenyaaaa yani wamehenyaaa tumeshindwa ila tumewahenyeshaaaa ndo furaha yetu..
Wachawi mmejisahau? Au toka mzee mpili awaingize chaka na uchawi wake feki mkajisahau kama nyie ni wachawi kindakindakiWachawi Tu Nyie Hamna Lolote [emoji23]
Hawana cha ukiboko acheni kushobokea wanaume wenzenu nyie. Wangekua kiboko wangefunga walau 5 na kuendeleaKiboko ya kolosView attachment 2200505
Chupri mkuu ni huyo manara aliekuja kwenuSimba bila chupri chupri haishindi. Ni timu mbovu kuliko
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Khaaaa mbona niliula usiku uleule nilipoona mkude kakosa goliUbwabwa wangu uko wapi
Aibu mliolitia taifa kuloga hadharani aliwatuma Manara!!!!?Chupri mkuu ni huyo manara aliekuja kwenu
Acha maneno ww mzee. Huo moshi huwa hauuoni hata altaren au kwa shekhe wakati wanasali au huo ni ulozi. Kazi ya ubani ni kufukuza pepo wachafu na kujitia wakfu kama kuna baya linapotea ndo maana mechi iliishia kwny matuta maana hata fitna zao na pepo wachafu waliondoka lakini bahati haikua yetu. Manara ndo msukule wenu yani akiwepo huko kuna kafara anafanyaga. Aibu ni nyie kujiita mabingwa wa kihistoria wakati hata kwenye rank ya club bingwa Africa hampoAibu mliolitia taifa kuloga hadharani aliwatuma Manara!!!!?View attachment 2200788View attachment 2200790
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mmekazana uchawi uchawi itakua ndo zenu hizo mmeona mmeingiliwa mnaumiaTrh 30 tutawaonesha soka. Ninyi endeleeni kujifunza uchawiView attachment 2200797
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Rekodi hiyo KWIOOOOOOOSIMBA inaenda kutengeneza rekodi mpya