Patrick Elias
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 332
- 108
Pia Kuna magimbi ya muhindi Mudy hayakutaka mbumbumbu mfuzuHmmh kuna mwana Simba Sc asiyetaka ifuzu kungia nusu fainali tofauti na mabumunda ya GSM? Hivi kwanini msijivunie tu kuwa mashabiki wa li team lenu (yanga)??
Yani hamna kabisa furaha licha ya liteam lenu kuongoza ligi??
Acheni Kuwanga Tunapeana Aibu Bhn Kitu Mlichofanya Ni Very Unprofessional Kabisa, Sajilini Kocha Mzuri Na Wachezaji Wazuri Kama Wa Yanga Ambao Kutwa Mnawaza Jinsi Ya Kuwaiba, Sawa Mwanga Akeeee! [emoji23]Wachawi mmejisahau? Au toka mzee mpili awaingize chaka na uchawi wake feki mkajisahau kama nyie ni wachawi kindakindaki
Ni uamuzi tu nimeamua kumute, siko kwenye mashindano mkuu mbonaJoseverest Mzee wa saa 00:00 leo imekuwaje ukawaiwa?
Wanga wanajuana wanga waoAcheni Kuwanga Tunapeana Aibu Bhn Kitu Mlichofanya Ni Very Unprofessional Kabisa, Sajilini Kocha Mzuri Na Wachezaji Wazuri Kama Wa Yanga Ambao Kutwa Mnawaza Jinsi Ya Kuwaiba, Sawa Mwanga Akeeee! [emoji23]
Mkuu Pettymagambo Hapo labda watalaamu wa takwimu, au wafuatiliaji watuambie..!Ghazwat kuna live updates ya game yoyote tofauti nahii yako inayoifikia wingi wa page 74?
Hii inaonesha wazi mashabiki wa simba target yao kubwa kwa sasa ni michuano ya africa! uto sio level zetu kabisa! sasa kama wameshindwa kuujaza uwanja tena game kubwa kama hii ilihali na mashabiki wa simba walikuepo hii inaleta picha gan mkuuMkuu Pettymagambo Hapo labda watalaamu wa takwimu, au wafuatiliaji watuambie..!
Kwenye Derby ya Kariakoo ya leo April 30, 2022 nilidhani inaweza kuipiku hii, lakini wala haikuwa hivyo.
Basi tu sababu nakuheshimuREPORT from ALLY MAYAI TEMBELE
"Ally Mayai Tembele, akizungumza [emoji2788] Nilicho kiona leo ni kwamba Yanga Sc hawawezi kucheza kimataifa na wakafanikiwa au kupata mafanikio wakiwa na wachezaji wa aina hii ni wakawaida sana walikuwa wakionekana wazuri kwakuwa walikuwa wakikutana na timu ndogondogo
[emoji2788] Yanga ili washindane na timu kama Orando Piratea, Al Ahly, au Tp Mazembe, wanatakiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa walionao
[emoji2788]Aucho, Mayele, Bangala, Feisal, kidogo ameonyesha ila hawa wote hawawezi kuwa na bato dhidi ya timu kama Al Ahly, Tp Mazembe, au Berkane,
[emoji2788] Simba ni timu bora sana zaidi ya Yanga tofauti na watu wanavyofikili kuwa Yanga ndio bora Simba Sc huwa wanafungwa na Mbeya City au Biashara, ni kutokana na kujisahau wakifikili kuwa ni timu ndogo au ni mbovu hivyo huwa hawajipangi ipaswavyo
[emoji2788] Yanga wao wanajipanga kila geam kwakuwa hawakutani na timu nyingi kubwa wao wakicheza iwe Mbeya City iwe Namungo wanazichukulia kuwa ni timu kubwa
[emoji2788] Wakati huo Simba wamesha ziweka hizi Namungo na wengine kuwa ni timu ndogo Simba wao wanaamini kuwa timu kubwa ni Al Ahly, Orando, na wengine wakubwa wa Africa na timu za hapa nchini hawazifanyii mazowezi kiujumla
[emoji2788] mchezo wao uliomalizika timu bora kwangu ni Simba Sc Yanga ndio walitakiwa kufungwa leo hiyo ni kwa mtazamo wangu mimi kama Ally Amayai [emoji3578][emoji120][emoji2][emoji2][emoji109]
[emoji2788] Kwa kuongeza hii leo kati ya Mayele, na Mugalu, aliyecheza mpira zaidi ni Mugalu, utofauti upo Mayele, amekutana nafasi nzur ameshindwa kuzitumia na Mugalu, amecheza zaidi mpira ila hajakuta na nafasi nzur ya kufunga
#JUMAHsports
Kitu cha kwanza Ally Mayai hawezi ongea huo upupu, alf unataka kuniambia Simba ndio kipimo cha kimataifa? basi Mbeya City, Kagera ni bora kuliko Simba wanaweza kufika nusu final CAF kama hizo ndio fact mnazo tumia au mna zingine?Ulitaka kufanya nini hapo..? Mbona Ally Mayai Tembele amechambua vyema tu. Ukielezewa mapungufu yako yanakuamsha kufanya vyema
Ni kweli kwa Kikosi chenu mna safari ndefu Kimataifa
Ni siku muhimu sana kuweka historia nyingine tena kwa Lunyasi Simba SC
Kila la kheri Mnyama Mkali Mwituni
πππHii mbugi inaisha droo ya bila bila mpaka moja moja. Sakho anatupia goli tata la kwenye mtandao
Huwa mnapata wapi muda wa kujichekesha namna hii?πππ