Simba yatolewa mapinduzi cup na mlandege

Simba yatolewa mapinduzi cup na mlandege

Na hii michuano ndio mlitaka muitumie ili kocha wenu mpya aweze kuwasoma mchezaji mmoja mmoja.

Na muonea huruma Mgunda,mechi ya leo itatumika kama kiboko cha kumchapa.
 
Kila kundi linatoa timu ya kwanza kucheza hatua ya nusu fainali, hadi sasa Mlandege wana nafasi, atapoteza nafasi endapo Simba atafungwa magoli mengi na KVZ.
Nusu fainali itakuwa mshindi kundi A atacheza na mshindi kundi B, na mshindi kundi C atacheza na mshindi D.
 
Imetolewa kivipi si bado mechi kwenye group zinapita timu ngapi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu michuano ya kombe la mapinduzi ina makundi manne ambayo yana timu tatu tatu Kila kundi. Mshindi wa kila kundi anaenda Moja Kwa Moja nusu fainal. Tayali mlandege ndio mshindi wa kundi la aimba maana Simba akishinda mechi yake iliyobakia atafikisha point 3 ambazo zimeshapitwa na mlandege mwenye pont 4
 
Timu za bongo zote ukiondoa wachezaji wakigeni hamna kitu.
 
Kwani hawachukui timu mbili za juu kwenye kundi?
Mpaka saizi sielewi msimao uko vipi lakini kuna timu ambayo tayari ilitoa sare na Mlandege

Na bado ina advantage ya mchezo mwingine ambao nadhani utawakutanaisha na timu ya kawaida
 
Mpaka saizi sielewi msimao uko vipi lakini kuna timu ambayo tayari ilitoa sare na Mlandege

Na bado ina advantage ya mchezo mwingine ambao nadhani utawakutanaisha na timu ya kawaida
Michuano ya kombe la mapinduzi ina makundi manne ambayo yana timu tatu tatu Kila kundi. Mshindi wa kila kundi anaenda Moja Kwa Moja nusu fainal.
Paka sasa Mlandege anaongoza kundi la simba maana hata Simba akishinda mechi yake iliyobakia atafikisha point 3 ambazo zimeshapitwa na mlandege mwenye pont 4
 
Mpaka saizi sielewi msimao uko vipi lakini kuna timu ambayo tayari ilitoa sare na Mlandege

Na bado ina advantage ya mchezo mwingine ambao nadhani utawakutanaisha na timu ya kawaida
Kwani ukisema Simba imeshatolewa inasubili mechi ya kukamilisha ratiba utapungukiwa na nini?
 
Simba 'tumeuza' mechi ili kuwakwepa Yanga au Azam huko mbele ya safari.
Hii mechi inafikirisha sana! Yaani timu ina mechi 2 tu za kucheza! Badala ya kuanzisha kikosi kamili ili kupata pointi 3 muhimu, wanaanzisha kikosi dhaifu, dhidi ya timu yenye pointi 1!

Haya sasa amefungwa, na pia kuvuliwa ubingwa. Aibu gani hii!!!
 
FACT CHECK: Simba bado haijatokewa maana kati ya match tatu, imepoteza moja na bado ina match mbili za kucheza.
 
Makundi Yako hivi wanathimbaa wenzangu[emoji116]
Screenshot_20221215-185855.jpg
 
Alishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?
Kina Chama, Kapombe, Mohammed Hussein, Kanute, Sako hawawezi kucheza kila mechi. Ilikuwa nafasi ya wachezaji kama Okwa nao kuonesha uwezo wao. February kuna klabu bingwa ligi, Azam Confederations
 
Back
Top Bottom