joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mkuu michuano ya kombe la mapinduzi ina makundi manne ambayo yana timu tatu tatu Kila kundi. Mshindi wa kila kundi anaenda Moja Kwa Moja nusu fainal. Tayali mlandege ndio mshindi wa kundi la aimba maana Simba akishinda mechi yake iliyobakia atafikisha point 3 ambazo zimeshapitwa na mlandege mwenye pont 4Imetolewa kivipi si bado mechi kwenye group zinapita timu ngapi?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwani hawachukui timu mbili za juu kwenye kundi?Mechi ipo lakini hata wakishinda sidhani kama wanaweza kuvuoa hatua inayofuata
Mpaka saizi sielewi msimao uko vipi lakini kuna timu ambayo tayari ilitoa sare na MlandegeKwani hawachukui timu mbili za juu kwenye kundi?
Wakae benchi au watimuliwe?Sawa tu...
Mijitu imepewa nafasi ila, bado inaboronga... itakaa benchi hadi makalio yaote sugu.
Njema ki vp unapenda ligi zisizo na maanaWe elewa imetolewa
Huoni hiyo ni habari njema kwako?
Michuano ya kombe la mapinduzi ina makundi manne ambayo yana timu tatu tatu Kila kundi. Mshindi wa kila kundi anaenda Moja Kwa Moja nusu fainal.Mpaka saizi sielewi msimao uko vipi lakini kuna timu ambayo tayari ilitoa sare na Mlandege
Na bado ina advantage ya mchezo mwingine ambao nadhani utawakutanaisha na timu ya kawaida
Kwani ukisema Simba imeshatolewa inasubili mechi ya kukamilisha ratiba utapungukiwa na nini?Mpaka saizi sielewi msimao uko vipi lakini kuna timu ambayo tayari ilitoa sare na Mlandege
Na bado ina advantage ya mchezo mwingine ambao nadhani utawakutanaisha na timu ya kawaida
Watimuliwe...Wakae benchi au watimuliwe?
Hii mechi inafikirisha sana! Yaani timu ina mechi 2 tu za kucheza! Badala ya kuanzisha kikosi kamili ili kupata pointi 3 muhimu, wanaanzisha kikosi dhaifu, dhidi ya timu yenye pointi 1!Simba 'tumeuza' mechi ili kuwakwepa Yanga au Azam huko mbele ya safari.
Acha uongo, zimebaki mechi mbili kivipi wakati kila group lina timu 3.?FACT CHECK: Simba bado haijatokewa maana kati ya match tatu, imepoteza moja na bado ina match mbili za kucheza.
Duuuh, mgumba kanipoteza, nimemsikia kwa masikio yangu akisema hivyo. Hivi kumbe ni MBUMBUMBU kiasi hiki? Basi mkuu naondoa kauli yangu.Acha uongo, zimebaki mechi mbili kivipi wakati kila group lina timu 3.?
Kina Chama, Kapombe, Mohammed Hussein, Kanute, Sako hawawezi kucheza kila mechi. Ilikuwa nafasi ya wachezaji kama Okwa nao kuonesha uwezo wao. February kuna klabu bingwa ligi, Azam ConfederationsAlishindwaje kuweka akina Chama benchi kwa ajili ya msaada mambo yakienda kombo?
Unaishi maneno ya rage. Kweli Simba wote ni mbumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]FACT CHECK: Simba bado haijatokewa maana kati ya match tatu, imepoteza moja na bado ina match mbili za kucheza.