Siwezi kumlaumu kwa hilo [emoji1].Moloko kamkimbia Chemalon
Sifuri sana . Yaani wanapoteza mpira kifala sana.simba utulivu ni sifuri
Bila ubishi huyu refa ni kiazi tu, wachezaji wanashika mpira tena maeneo sensitive kabisa ila anajifanya haoni.Tumrudishe refa ya Ile mechi yenu dhidi ya Singida!!?
AahaaaaaaBila ubishi huyu refa ni kiazi tu, wachezaji wanashika mpira tena maeneo sensitive kabisa ila anajifanya haoni.