Simba yauza tiketi zote za Simba Day leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya siku yenyewe

wenzenu wamejaza makombe kabatini nyie mnafikiria kujaza uwanja na kuendesha bahati na sibu.

mafanikio simba 2022/23 kujaza uwanja.
huna akili kama kawaida ya utopolo, unajua kwanini CAF wameamua mechi ya ufunguzi ichezwe Dar es salaam??? na simba ndio anafungua dimba ama na mamelodi, al ahly, esperance, au wydad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…