Simba yauza tiketi zote za Simba Day leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya siku yenyewe

Et 22 kwa 21....! makolo mnajua saana kujitoa ufaham, basi tufanye Yanga anajumla ya mataji 10 kama mnaumia kuhusu mataji 28...! Tuombe uzima tu ligi ikianza msianze kutia tia huruma na lawama kibao .. Mm naomba angalau mlete ushindani msimu huu.. vinginevyo wembe ni ule ule Yanga atabeba mataji yote ya ndani na simba mtabaki kusema mliuza tiket zote kwenye bonanza, sijui group stage .. Yani mtatafuta saana faraja ila WAPI.. [emoji172][emoji169][emoji1665][emoji91]
We inaonekana somo hili lilikupita.
 
Kuna faida gani sasa timu kuweka kiingilia kikubwa kiasi cha washabiki wake kushindwa kuingia.
Siku ya timu kwanza ilitakiwa kiingilio kiwe bure ila kwakuwa uwanja haitoshi timu lazima ipange kiingilio kinacho lipika.
Hongera sana Simba Sports Club na washabiki wake kwa kuujaza uwanja siku tatu kabla ya Tamasha.
 
Utopolo unaishi kwa kukariri . Utopolo hakuna chochote cha maana inachoizidi simba mpaka uiwekee dhamana kwa 100% kwamba wataendelea kuwa mabingwa.
 
View attachment 2707288
Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY.

Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi
Maskini wee. Nchi inamegwa vipande vipande kuuzwa wananchi wenyewe ndiyo hawa tumetekwa msukule kwenye kushabikia mipira ya timu zinazumiwa na magachori kutupumbaza. Mwafrika ni rahisi sana kudanganywa na vitu vidogo vidogo ili aliwe!
 
Brother imeisha hiyo....! Ninyi kuhusu makombe mtasubiri saana..! Sis tukiwa tunabeba makombe, ninyi mtakua mnajisifia sijui Giant wa Africa ( Hata fainali hakuna )... Ni swala la muda na Afya njema tutashuhudia hapa
Umeanza kushabikia mpira lini? Miaka minne mlisugua benchi misimu miwili tu mmeanza mbwembwe 😀😀😀 msimu huu tutawaonesha
 
Maskini wee. Nchi inamegwa vipande vipande kuuzwa wananchi wenyewe ndiyo hawa tumetekwa msukule kwenye kushabikia mipira ya timu zinazumiwa na magachori kutupumbaza. Mwafrika ni rahisi sana kudanganywa na vitu vidogo vidogo ili aliwe!
Naona NHC nao wanapendekeza wageni wauziwe ardhi, tumekwisha
 
Kuna faida gani sasa timu kuweka kiingilia kikubwa kiasi cha washabiki wake kushindwa kuingia.
Siku ya timu kwanza ilitakiwa kiingilio kiwe bure ila kwakuwa uwanja haitoshi timu lazima ipange kiingilio kinacho lipika.
Hongera sana Simba Sports Club na washabiki wake kwa kuujaza uwanja siku tatu kabla ya Tamasha.
Mpira gharama kwasasa,bure ni zamani.
 
Back
Top Bottom