huna akili kama kawaida ya utopolo, unajua kwanini CAF wameamua mechi ya ufunguzi ichezwe Dar es salaam??? na simba ndio anafungua dimba ama na mamelodi, al ahly, esperance, au wydad.
Inasaidia nini huku ukiwa huna Makombe....huna UbingwaView attachment 2707288
Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY.
Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi
Ndugu umeumia sana. Unaongea kwa uchungu mpaka huruma, UTHIBITISHO subiri tuona fungulia dog itakuwepo au ndo hakuna hata kiti kimoja kitabaki over.Inasaidia nini huku ukiwa huna Makombe....huna Ubingwa
Vipi kama Muddy kaamua kujifurahisha kwa kununua tiketi nyingi...
Wapi ilipo B20 ya uwekezaji?
ACHA UMAMA wewe makombe ya UTOKOLO yamekusaidia nini?Inasaidia nini huku ukiwa huna Makombe....huna Ubingwa
Vipi kama Muddy kaamua kujifurahisha kwa kununua tiketi nyingi...
Wapi ilipo B20 ya uwekezaji?
Ikiuma chomoaKiingilio cha mtu 1 siku ya wananchi ni sawa na watu 8 makolo day[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2707478
Imeuma sana hiyoo eeh,??Title ilipaswa kuwa hivi:-
Simba yauza tiketi zote za bei chee leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya Simba Day
Ndio furaha yao iliyobakia 😀,binafsi kwa zile parade 2 za Yanga nilijua tu makolo hasira zao watazimalizia kwenye siku yaowenzenu wamejaza makombe kabatini nyie mnafikiria kujaza uwanja na kuendesha bahati na sibu.
mafanikio simba 2022/23 kujaza uwanja.
Na hii free boti usisahau kuizungumzia piaKiingilio cha mtu 1 siku ya wananchi ni sawa na watu 8 makolo day[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2707478
Makombe gani?Brother imeisha hiyo....! Ninyi kuhusu makombe mtasubiri saana..! Sis tukiwa tunabeba makombe, ninyi mtakua mnajisifia sijui Giant wa Africa ( Hata fainali hakuna )... Ni swala la muda na Afya njema tutashuhudia hapa
Wanajitekenya wenyewe halafu wanachekaView attachment 2707288
Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY.
Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi
Et 22 kwa 21....! makolo mnajua saana kujitoa ufaham, basi tufanye Yanga anajumla ya mataji 10 kama mnaumia kuhusu mataji 28...! Tuombe uzima tu ligi ikianza msianze kutia tia huruma na lawama kibao .. Mm naomba angalau mlete ushindani msimu huu.. vinginevyo wembe ni ule ule Yanga atabeba mataji yote ya ndani na simba mtabaki kusema mliuza tiket zote kwenye bonanza, sijui group stage .. Yani mtatafuta saana faraja ila WAPI.. [emoji172][emoji169][emoji1665][emoji91]Makomve gani?
Hayo 22 dhidi ya 21 ambayo tunayo sisi?
Au ile mechi yenu ya juzi dhidi ya magereza baada ya ushindi wa goli 10 nayo ilikuwa ni mechi ya kombe. Mmeongeza idadi?
Kiusahihi ni masaa 72 maana tangazo lilitoka kabla ya saa 11 jioni. Hii rekodi inabidi iwekwe sawa.Mbumbumbu bwana ndiyo mantiki gani hizi za uandishi? Zaidi ya saa 48 unamaanisha nini? Inaweza kuwa saa 72, 1000, 2000 nk nk.