Simba yauza tiketi zote za Simba Day leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya siku yenyewe

We inaonekana somo hili lilikupita.
 
Kuna faida gani sasa timu kuweka kiingilia kikubwa kiasi cha washabiki wake kushindwa kuingia.
Siku ya timu kwanza ilitakiwa kiingilio kiwe bure ila kwakuwa uwanja haitoshi timu lazima ipange kiingilio kinacho lipika.
Hongera sana Simba Sports Club na washabiki wake kwa kuujaza uwanja siku tatu kabla ya Tamasha.
 
Utopolo unaishi kwa kukariri . Utopolo hakuna chochote cha maana inachoizidi simba mpaka uiwekee dhamana kwa 100% kwamba wataendelea kuwa mabingwa.
 
View attachment 2707288
Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY.

Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi
Maskini wee. Nchi inamegwa vipande vipande kuuzwa wananchi wenyewe ndiyo hawa tumetekwa msukule kwenye kushabikia mipira ya timu zinazumiwa na magachori kutupumbaza. Mwafrika ni rahisi sana kudanganywa na vitu vidogo vidogo ili aliwe!
 
Brother imeisha hiyo....! Ninyi kuhusu makombe mtasubiri saana..! Sis tukiwa tunabeba makombe, ninyi mtakua mnajisifia sijui Giant wa Africa ( Hata fainali hakuna )... Ni swala la muda na Afya njema tutashuhudia hapa
Umeanza kushabikia mpira lini? Miaka minne mlisugua benchi misimu miwili tu mmeanza mbwembwe 😀😀😀 msimu huu tutawaonesha
 
Maskini wee. Nchi inamegwa vipande vipande kuuzwa wananchi wenyewe ndiyo hawa tumetekwa msukule kwenye kushabikia mipira ya timu zinazumiwa na magachori kutupumbaza. Mwafrika ni rahisi sana kudanganywa na vitu vidogo vidogo ili aliwe!
Naona NHC nao wanapendekeza wageni wauziwe ardhi, tumekwisha
 
Mpira gharama kwasasa,bure ni zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…