Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Taarifa kwa umma.
Klabu ya simba imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa kocha Zoran Maki pamoja na kocha viungo Sbai Karim pamoja na kocha wa makipa na Mohammed RashidView attachment 2347520
Ndio mpira wetu wa kibongo, tulisema hapa Simba mkatupigia makele, timu hiyo waliosajili ni viongozi na si makocha. Mtawapa lawama makocha wakati viongozi ndio wanastahili lawama.
Shida ya kuokoteza makocha wa bei rahisi inatokana na ubahili wa Mwamed
Kocha pia kasajili, mzungu kamleta yeye, Outtara kamleta yeye, sasa kuna viwango gani paleNdio mpira wetu wa kibongo, tulisema hapa Simba mkatupigia makele, timu hiyo waliosajili ni viongozi na si makocha. Mtawapa lawama makocha wakati viongozi ndio wanastahili lawama.Kama ikiwezekana muachieni Matola.