Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Klabu ya Simba imeachana na kocha wake mkuu Zoran Maki, akiwa ameifundisha timu hiyo kwa siku 67 pekee. Awali Zoran aliingia mkataba wa mwaka mmoja na Simba ambapo leo wamefikia makubaliano ya pamoja kuvunja mkataba huo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Babra Gonzalez.
Vilevile Simba wamesitisha mikataba ya Kocha wa viungo Sbai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid.
Wakati mchakato wa kumpata kocha mpya ukiendelea, timu itaongozwa na kocha wake msaidizi, Suleiman Matola.