Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Walimchelewesha, tulifungwa na Yanga, kwa upuuzi wa kumchezesha Mwanuke, na mzungu, wale wazuri waliocheza kipindi cha kwanza unawatoa tunafungwa kipindi cha pili, mechi zote za kirafiki ni kufungwa na draw na mechi zote tulizoshinda ni juhudi binafsi za wachezaji hamna ubunifu wa kocha.

Sijui itakwaje na mechi ya kimataifa ndo next week
 
Ndio mpira wetu wa kibongo, tulisema hapa Simba mkatupigia makele, timu hiyo waliosajili ni viongozi na si makocha. Mtawapa lawama makocha wakati viongozi ndio wanastahili lawama.Kama ikiwezekana muachieni Matola.
Acha ujinga kocha anakuletea wachezaji kama mzungu afu umpe maamuzi ya kununua wachezaji team si itashuka daraja
 
Mpeni timu Matola sasa.

Na mwezi wa 10 msipokaa sawa mtamfukuza mwingine
 
Bado na ile takataka yake sjui mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…