Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Makolokolo bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo vyeti kakaNashauli kwa dhati na moyo mkunjufu Kama matola vyeti vyake vinakidhi vigezo tumuachie timu.
Wachezaji wanampenda.
Wachambuzi watakosa lakusema.
Pia Simba tutakuwa mfano wakuingwa kuwaamini makocha wazawa.
Simba sio ya kufungwa na timu ya Djibuti bwana🤣🤣🤣🤣Kocha pia kasajili,mzungu kamleta yeye,Outtara kamleta yeye,,sasa kuna viwango gani pale
Acha ujinga kocha anakuletea wachezaji kama mzungu afu umpe maamuzi ya kununua wachezaji team si itashuka darajaNdio mpira wetu wa kibongo, tulisema hapa Simba mkatupigia makele, timu hiyo waliosajili ni viongozi na si makocha. Mtawapa lawama makocha wakati viongozi ndio wanastahili lawama.Kama ikiwezekana muachieni Matola.
Ni ukweli ,na kocha anawaacha wachezaji wazuri anaingiza wale ambao hawachezi ? Yule kocha wa hovyoSimba sio yakufungwa na timu ya djibuti bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatima ya Mlete Mzungu iko mashakaniKlabu ya Simba imesema imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa kikosi chao Zoran Maki
Vilevile wamesitisha mikataba ya Kocha wa viungo Sbai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid
Namuona Matola kwenye ubora wake kya kya kyaKlabu ya Simba imesema imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa kikosi chao Zoran Maki
Vilevile wamesitisha mikataba ya Kocha wa viungo Sbai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid
Ametoka mbali, dirisha dogo la usajili tutamwambia amfuate Mjomba wake!Hatima ya Mlete Mzungu iko mashakani
Watu wanajua kuyafukua makaburi sio mchezOKutoka maktaba, kumbukizi Mujaraaab , Wanathiiiimbaaa[emoji23]View attachment 2347540
Sasa atayekuja saizi ndio komeshoKutoka maktaba, kumbukizi Mujaraaab , Wanathiiiimbaaa[emoji23]View attachment 2347540