Rage akiwaita mbumbumbu mnatoa povu. Sasa aliyekuambia hapo wanagombea point tatu nani?Simba chama kubwa nina imani tutarudi na point zetu 3.
Wale wa "uzalendo mwisho leo" kama nawaona nawaonaa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu una roho ngumu sanaKila lakheri Mbabane Swallows
Nasikia Somo kafika airport akaanza kujiharishiaYule mtaalam wenu Somo vipi kaenda?
Mkuu inaitwa eSwatini.Team yetu Simba imeingia jana Nchini Eswatin kucheza na mbabane siku ya j4 mjini Manzin mlio karibu tujumuike pamoja kushangilia chama letu...View attachment 954075View attachment 954076View attachment 954077View attachment 954078
Somo kaishiwa nguvuNasikia Somo kafika airport akaanza kujiharishia