Simba yawasili Eswatin

Simba yawasili Eswatin

Rubawa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
2,055
Reaction score
3,254
Team yetu Simba imeingia jana Nchini Eswatin kucheza na mbabane siku ya j4 mjini Manzin mlio karibu tujumuike pamoja kushangilia chama letu...
IMG-20181202-WA0069.jpeg
IMG-20181202-WA0049.jpeg
IMG-20181202-WA0077.jpeg
IMG-20181202-WA0043.jpeg
 
Simba chama kubwa nina imani tutarudi na point zetu 3.

Wale wa "uzalendo mwisho leo" kama nawaona nawaonaa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rage akiwaita mbumbumbu mnatoa povu. Sasa aliyekuambia hapo wanagombea point tatu nani?
 
All the best Simba, just Swallow the Swallows which you had grinded already at the National Stadium
 
kila la kheri simba sc, ila sisi huku yanga tuko mbeya kuchukua point 3, mpaka mkarudi mtakuta tumejifanyia empire 38point vs 27,
ukute na nyinyi mmefanya blunders huko ndipo mtakapo kubali kweli "mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
 
Back
Top Bottom