Simba Yaweka Historia Ya Ligi Kuu Bara

Simba Yaweka Historia Ya Ligi Kuu Bara

Babuji

Senior Member
Joined
Nov 27, 2008
Posts
197
Reaction score
4
SIMBA imeweza kutengeneza historia mpya kwa kushinda mechi zote 11 za mzunguko wa kwanza na kufikisha pointi 33 katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Katika mechi yake ya 11 Simba ilipata ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Jumapili iliyopita.

Source: www.nifahamishe.com
 
Mwaka huu kanda mbili si wetu du naskia tupo mtu 4!!!!
 
Back
Top Bottom