Simba yaweka record duniani dk 90 bila shoot on target

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ukistaajabu ya Musa ......utaona ya makolo

Hii ndio record iliyowekwa Jana na vijana wa mudi .....Baada ya mpira kuisha dk 90 bila hata Simba kupiga shoot lililo lenga lango ( on target)

Hii Ina maana Gani kiuchambuzi
Ni Kwamba Makolo wote walikuwa ma full beki......walienda kuzuia bila ya kufanya offensive attack

Ushauri wangu
Makolo waende pale jangwani then waombe review za mechi za shirikisho za Yanga ....Ili watoboe .....bila hivyo ....tutaendelea kumuonea mangungu

NB: CAF champions &. CAFCCL is not for everyone [emoji23]
 
Lipa bill zako,peleka wanao out achana na pororojo za keyboard unafikiri defensive game madhala yake ni yepi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…